unaikumbuka Starehe ya Ferooz

unaikumbuka Starehe ya Ferooz

Niaje wanangu wa Mwananchi Scoop, leo kwenye Throuback Tuesday (TBT) tumekuletea kijana ambae alifanya  vizuri na kufanya nyimbo zake kukubalika sana na  huyu ni  Feruzi Mrisho maarufu kama Ferooz.

Ferooz kwasasa anatamba na nyimbo yake ya “Mguu pande” iliyotoka rasmi july, 16 mwaka huu, nyimbo hiyo ambayo inafanya vizuri pia katupia mtandao wa youtube.

Leo tunakurudisha nyuma kidogo na kuitizama ngoma yake iliofanya vizuri nje na ndani ya Tanzania, “Starehe” aliomshirikisha msanii mwenzie maarufu na kiongozi wa serikali Joseph Haule maarufu kama Professor Jay  kupitia albamu yake  ya “Safari”ilio tamba sana kitaani mwaka 2015 Albam hiyo ilifanya vizur sana na kupendwa na watu wa kila rika.

Hayaa haya sasa wanangu wa @mwanachiscoop shusha comment hapo chini utuambie ni mstari gani unaukubali na ulikukosha sana kupitia nyimbo hiii. Na ni nyimbo gani unaikubali zaidi ya zamani ya Ferooz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags