Meek Mill kuacha muziki

Meek Mill kuacha muziki

Mambo niaje moja ya story inatembea mitandaoni bwana ni kuhusiana na Rapper Meek Mill amefunguka mwenyewe bwana kuwa anampango wa kuacha kufanya  muziki kwa miaka michache ijayo.

Rapa huyo amethibitisha hayo Kwenye Moja Ya Mahojiano Huko Nchini Marekani akiwa amegusia Suala Hilo.

Ebwanaa eeeh !! je ningoma gani unaikubali kutoka kwa Rapa huyo?tuambie kupitia website yetu www.mwananchi scoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags