Wizkid; Bieber alipiga simu

Wizkid; Bieber Alipiga Simu

Msanii kutoka nchini Nigeria Wizkid Amefunguka Kuhusu Remix Ya Wimbo Wake Wa Essence Aliyoufanya naJustine Bieber kuwa Bieber mwenyewe ndiye aliyepiga simu kutaka kufanya wimbo huo.


Kupitia  Interview na Complex News aliyofanya msanii huyo amethibitisha hayo huku akikazia kuwa mara zote nyimbo zake anazotoa huwa hategemei makubwa, zaidi ya kutoa ngoma kali tu akiamini watu watapenda.

Hata hivyo Wizkid aliendelea kwa Kusema Kuwa Kolabo yake na Bieber haijaishia hapo tu Bali Wana Nyimbo Nyingi Tayari Wamekwisha Fanya Ambazo Zitafuata Baadaye.
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on Career and skills development every Monday and entertainment, every Friday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include SMARTPHONE and NIPE DILI.

Latest Post