Snoop Dogg afiwa na mama yake mzazi

Snoop Dogg afiwa na mama yake mzazi

Ni pigo ndivyo tunaweza kusema baada ya kusambaa kwa habari za msanii kutokea nchini Marekani Snoop Dogg za kufiwa za mama yake mzazi.

Mama wa rapa huyo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 na inaelezwa kuwa ni pigo nzito lililomtokea msanii huyo aanayetamba na ngoma zake mbalimbali.

Hata hivyo mpaka sasa sababu za kifo cha mama mzazi huyo bado hakijawekwa wazi ila inaripotiwa kuwa alikuwa amelazwa hospitali.

Ili kujua chanzo za kifo hicho endelea kuwa nasi kwa tutakujua mengi za zaidi hivi punde.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags