26
Snoop Dogg atuma salamu Grammy
Mwanamuziki wa Marekani Snoop Dogg ametuma salamu kwa watoaji wa tuzo za Grammy, hii ni baada ya kushare picha za ma-rapa sita nchini humo ambao wamefanya vizuri lakini hawaja...
08
Snoop Dogg ataja ma-rapa watatu anaowakubali
Msanii nguli wa muziki wa hiphop kutoka Marekani, Calvin Cordozar “Snoop Dogg amewataja ma-rapa anaowakubali muda wote akiwemo Ice Cube.Snoop ameachia listi hiyo ya mast...
03
Snoop Dogg amkumbuka Malikia Elizabeth
Mwanamuziki kutoka Marekani Snoop Dogg amekumbuka mchango wa marehemu Malikia Elizabeth kutokana na mambo aliyowahi kumfanyia enzi za uhai wake.Wakati alipokuwa kwenye mahojia...
22
Snoop Dogg: Kendrick Lamar wewe ni Mfalme
Mwanamuziki wa Marekani Snoop Dogg amempa ‘rapa’ Kendrick Lamar maua yake kwa kumtaja msanii huyo kuwa ni mfalme wa Magharibi.Kupitia video aliyopost Dogg kwenye i...
30
Snoop Dogg awashukuru Lamar na Drake
Mwanamuziki na producer wa #Marekani Snoop Dogg amewashukuru wasanii wenzake Kendrick Lamar na Drake kwa kurudisha muziki kwenye mstari.Akiwa kwenye mahojiano yake na ‘E...
20
Dr. Almasi alivyoukataa uzee, ajifananisha na Diddy, Snoop Dogg
Kuzeeka ni mpango wa Mungu ila kuchoka ni kujitakia kauli hii ameitoa Mwigizaji Steven Charles Almasi maarufu kama Dr. Alsmasi baada kuzungumza na Mwananchi Scoop na kufunguka...
21
Dr Dre kwenye album ya pamoja na Snoop Doggy
Baada ya mwanamuziki na producer kutoka nchini Marekani Dr Dre kutunukiwa nyota ya heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’, ametangaza ujio wa album ya pamoja na &lsqu...
20
Dr Dre atunukiwa nyota ya heshima
Baada ya kutangazwa na watoaji wa nyota za heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’siku chache zilizopita, hatimaye ‘rapa’ na producer Dr Dre tayari ametunu...
14
Dr. Dre kutunukiwa nyota ya heshima, hollywood walk of fame
Producer na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Dr. Dre anatarajiwa kutunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk of Fame Machi 19, mwaka huu katika Jengo la Hollywo...
01
Snoop Dogg na muendelezo wa vipindi vya watoto
‘Rapa’ Snoop Dogg ameripotiwa kuja na muendelezo wa kipindi cha watoto kilichopewa jina la ‘Doggland’ ambacho kitasaidia watoto kujifunza vitu mbalimba...
30
Trump hana baya kwa Snoop Dogg
‘Rapa’ #SnoopDogg ameweka wazi kuwa hana baya na aliyekuwa Rais wa Marekani #DonaldTrump licha ya watu kuzusha kuhusiana na wawili hao kutokuwa sawa ambapo alidai ...
21
Snoop Dogg atupilia mbali bilioni 250 kuonesha sehemu za siri
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #SnoopDogg amedai kuwa alikataa ofa ya tsh 250 bilioni ambapo alitakiwa kuonesha sehemu zake za siri hadharani kwenye mtandao wa Only...
21
Snoop Dogg kuacha kuvuta sigara ilikuwa ni kiki
Ni siku tano tuu zipite tangu ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Snoop Dogg kutangaza kuacha kuvuta sigara, hatimaye imegundulika kuwa ilikuwa ni kiki ya tangazo la kam...
11
Snoop dogg kumiliki label ya death row records
Rapper kutoka nchini Marekani Calvin Broadus  maarufu Snoopdogg sasa ni mmiliki rasmi  wa label ya deathrow records ya kwani ameripotiwa kuinunua kutoka kw...

Latest Post