Marioo kuja na tour

Marioo kuja na tour

Mambo vipi natumai mko poua kabisa leo bwana katika gumzo mitandaoni kumetaradadi, msanii wa bongo fleva Marioo tz ametangaza ujio wake wa tour ambapo ameipa jina la “I am Marioo tour”

Marioo ameweka wazi ujio wa tour hiyo kupitia ukurasa wake wa instagram huku akiwaachia mashabiki zake kupendekeza ni mkoa gani asiache kukanyaga kwenye tour hiyo ameeleza kuwa “Unatamani nisiache kupita kwenye mkoa gani? Nitawatangazia tarehe hivi karibuni”

Pamoja na kuweka wazi ujio wa tour hiyo Marioo hakugusia endapo kuna wasanii watakuwepo katika tour hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags