11
Taylor Swift awatunuku timu ya Eras Tour maokoto
Mwanamuziki kutoka Marekani Taylor Swift ameitunuku timu yake ya ‘Eras Tour’ bonasi ya dola 197 milioni kama ishara ya kuthamini juhudi zao katika ziara yake hiyo....
14
Taylor atangaza tarehe ya kutamatisha ziara yake
Ikiwa tayari zimefanyika show 100, katika ziara ya dunia ya mwanamuziki wa Marekani Taylor Swift, ‘Eras Tour’, hatimaye msanii huyo ameweka wazi tarehe ya kutamati...
14
Drake kufikishwa mahakamani
PosKampuni ya Wanamitindo ya ‘Members Only’, imefungua kesi dhidi ya kampuni ya Drake, ‘Away From Home Touring Inc’, katika mahakama ya shirikisho ya N...
13
‘Royal Tour’ yatajwa kuimarisha biashara ya usafiri wa anga
Filamu ilionesha utamaduni na historia ya kipekee ya Tanzania imetajwa kuimarisha biashara ya anga kwa kufanikiwa kusajili ndege 3...
30
Beyonce na Tylor wavunja rekodi kwenye maokoto 2023
Wanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce na Taylor Swift ndiyo wasanii waliofanikiwa zaidi kwa mwaka 2023 kutokana na ziara zao walizozifanya na kuwapatia maokoto ya maana.Zi...
12
Pink Friday 2 tour kuanza machi
Baada ya kuachia album yake ya ‘Pink Friday 2’ na kufanya vizuri nchini Marekani na duniani kote, sasa ‘rapa’ Nicki Minaj ameachia mkeka rasmi wa sehem...
18
Taylor Swift aomboleza kifo cha shabiki
Mwanamuziki Taylor Swift anaomboleza kifo cha shabiki kilichotokea dakika chache kabla ya kupanda stejini katika tour yake ya Eras Tour iliyofanyika Brazil usiku wa kuamkia le...
18
Nicki Minaj kufanya tour Nigeria
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani Nick Minaj amefikiria kujumuisha nchi ya #Nigeria katika ziara yake ikiwa tuu mashabiki wa nchi hiyo watajisajiri na kununua ‘...
11
Toure atamani kuona ‘makocha’ weusi Ulaya
Kiungo wa zamani wa ‘klabu’ za Manchester City na Barcelona, Yaya Toure atamani kuona ongezeko la ‘makocha’ weusi Ulaya. Akizungumza na BBC, Toure ames...
30
Tanzania nchi ya nne kwa uzuri Duniani
Aloooooweeee! Alooootenaaa! Jamani weee lazima tujisifie na kujivunia  chakwetu bwana, ama kweli royal tour imeleta manufaa haswa basi bwana unaambiwa,Tanzania imetajwa k...
28
Uzinduzi wa The Royal Tour Kitaifa
Moja kati ya taarifa kubwa ambayo tumekuletea siku ya leo ni kuhusiana na Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘T...
24
Alikiba kuanza tour yake
Msanii wa Muziki nchini Tanzania, Ali Kiba maarufu kama Alikiba ametangaza rasmi kuanza tour yake aliyoipa jina la Only one King ambapo kwa mara ya kwanza itazinduliwa mkoani ...
12
Unicomedy Tour kuanza Rasmi leo
Ebwana eeeh!!! It's furahi day kama kawa kama dawa popote pale ulipo mwanafunzi wa chuo, hope uko poa kabisa. Leo kwenye makala za burudani na michezo  utafahamu kuhusian...
21
Marioo kuja na tour
Mambo vipi natumai mko poua kabisa leo bwana katika gumzo mitandaoni kumetaradadi, msanii wa bongo fleva Marioo tz ametangaza ujio wake wa tour ambapo ameipa jina la “I ...

Latest Post