Beyonce na Tylor wavunja rekodi kwenye maokoto 2023

Beyonce na Tylor wavunja rekodi kwenye maokoto 2023

Wanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce na Taylor Swift ndiyo wasanii waliofanikiwa zaidi kwa mwaka 2023 kutokana na ziara zao walizozifanya na kuwapatia maokoto ya maana.

Ziara namba moja iliyovunja rekodi ni kutoka kwa mwanadada Taylor Swift ya ‘The Eras Tour’ ambayo imeuza tiketi milioni 4.78 na kuingiza zaidi ya dola bilioni 1.

Huku ziara ya pili ikiwa ni ile ya Mama na mtoto kukiwasha katika jukwaa moja ya Beyonce ‘The Renaissance World Tour’ ambayo imeuza tiketi milioni 2.78 na kuingiza dola 580 milioni






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags