Pink Friday 2 tour kuanza machi

Pink Friday 2 tour kuanza machi

Baada ya kuachia album yake ya ‘Pink Friday 2’ na kufanya vizuri nchini Marekani na duniani kote, sasa ‘rapa’ Nicki Minaj ameachia mkeka rasmi wa sehemu atakazo zunguka na kufanya ziara ifikapo mwaka 2024.

Ziara hiyo ambayo imepewa jina la ‘Nicki Minaj Pink Friday 2 Tour’ inatarajiwa kuanza Machi mosi mwaka 2024 katika mji wa Oakland California na kutamatika Juni 7, Berlin.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags