Toure atamani kuona ‘makocha’ weusi Ulaya

Toure atamani kuona ‘makocha’ weusi Ulaya

Kiungo wa zamani wa ‘klabu’ za Manchester City na Barcelona, Yaya Toure atamani kuona ongezeko la ‘makocha’ weusi Ulaya.

Akizungumza na BBC, Toure amesema kuwa anatamani kuona utofauti watu weusi kuwa ‘makocha’ Katika nchi za Ulaya, waweze kuaminiwa kama watu weupe na kupewa majukumu hayo.

Kaka yake alitangulia kuwa ‘kocha’mkuu barani Ulaya, amedai kuwa na yeye atafuata.

Hata hivyo sasa Toure, mwenye miaka 40, ni ‘kocha’ msaidizi katika ‘klabu’ ya Standard Liege ya Ubelgiji, baada ya kuachana na Spurs mwezi Juni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags