Alikiba kuanza tour yake

Alikiba kuanza tour yake

Msanii wa Muziki nchini Tanzania, Ali Kiba maarufu kama Alikiba ametangaza rasmi kuanza tour yake aliyoipa jina la Only one King ambapo kwa mara ya kwanza itazinduliwa mkoani Mwanza.

Alikiba amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo aliandika "One month after dropping Only one King album, mapokezi yake yamekuwa makubwa, asanteni sana.

"And December is here, let's get the party started, I'm officially announcing Only One King Tour is on, Tunaanzia rock city Mwanza on 17th December,  save the date, for booking/ sponsorship wasiliana na management yangu @kingmusicrecords," ameandika Kiba

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags