Jay z, Beyonce kuuza nyumba kwa bilioni 10

Jay z, Beyonce kuuza nyumba kwa bilioni 10

Ee bwana moja kati ya story kubwa huku mitandaoni ni pamoja na Rapper kutokea nchini Marekani Jay Z na mkewe Beyonce kutangaza kuuza nyumba yao kwa Dola za Marekani 4,450,000 sawa na Bilioni 10 za kitanzania.

Nyumba hiyo inayouzwa hivi karibuni kwa mujibu wa ripoti ya TMZ ilieleza kuwa iliungua hata hivyo haikuweka bayana chanzo cha moto huo.

Mpaka wawili hao wanafikia makubaliano ya kuuza nyumba hiyo ni wazi kuwa tayari ilishakarabatiwa na ni malaum sasa kwa kuuzwa ili watu wengine kwenda kuishi.

Mjengo huop una jumla ya vyumba saba vya kulala, mabafu nane lakini kubwa zaidi ina bustani ambayo inaripotiwa kuwa ni sehemu ambapo Rapper Jay Z ameitumia katika kuandika nyimbo zake nyingi kaili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags