Shatta Wale; mbaroni

Shatta Wale; mbaroni

Niaje wanangu wa Mwananchi scoop leo bwana katika gumzo mitandaoni mambo si mambo, staa wa muziki wa dance hall kutoka nchini Ghana, Charles Nii Armah maarufu kama Shatta Wale amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kuongopa kuwa amepigwa risasi na mtu asie julikana.

Shatta Wale alitoa taarifa hiyo kupitia kwenye mitandao ya kijamii jambo ambalo lilizua taharuki kwa uma,  Serikali nchini ghana imethibitisha kumkamata Shatta kwa uchunguzi zaidi.

Mnamo oktoba 18 mwaka huu Shatta alitumia mtandao wa kijamii kichapisha taarifa hiyo na ilipo fika oktoba 19 aliandika kupitia ukurasa huo huo na kueleza kuwa taarifa hizo ni zauongo na anaomba radhi kwa kilicho tokea.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags