Wizkid afunga rekodi nyingine

Wizkid afunga rekodi nyingine

Msanii wa muziki kutokea nchini, Nigeria Wizkid unaambiwa amefunja rekodi nyingine huko na kuwafanya watu kuendelea kumpemda na kumfatilia.

Msanii huyo ameweka rekodi ya kuwa msanii muafrika wa kwanza kufikisha zaidi ya streams Milioni 300 katika mtandao wa kusikiliz muziki wa Audiomack.

Katika kudhibitisha hilo, Audiomack wameshare taarifa hiyo katika ukurasa wao wa Instagram huku wakimpongeza msanii huyo kuweka rekodi hiyo…






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags