Stan Bakora azua gumzo mitandaoni

Stan Bakora azua gumzo mitandaoni

Moja ya story iliyoleta gumzo katika mitandao ya kijamii ni ya mchekeshaji Stan Bakora kuonekana kwenye video akiwa na sonara anayemtoboa kitovu chake ili kuweka kipini.

Star huyo wa vichekeshi hapa nchini, ameingia kwenye trend baada ya kuonekana kwenye video hiyo ambayo ni wazi kuwa anaweka kipindi kwenye kitovu kitendo ambacho ufanywa na wanawake.

Inaelezwa kuwa kitendo hicho kimezua mjadala kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na utamaduni huo umezoeleka kufanywa na jinsia ya kike.

Baadhi ya mashabiki zake wameonesha kukasilishwa na kitendo hicho huku wengine wakimtaka kuacha hiyo tabia mara moja ili kuendelea kuitunza heshima yake.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags