Meek Mill azitupia lawama records label

Meek Mill azitupia lawama records label

Ohoo mambo ni moto mambo ni fire hivyo ndivyo tunavyoweza kusema kwamba Msanii kutoka nchini Marekani Meek Mill bwana amesema hajui ni fedha gani Labels zingaingiza.

Meek Mill alisema  hajalipwa kupitia Muziki na hajua ni fedha gani Labels zinaingiza kupitia yeye na hivyo anahitaji wanasheria sasa.

"Iulizeni Label, Je Ni Kiasi Gani Wamewekeza Kwangu Kama Msanii ?, Alafu Waulize Ni Kiasi Gani Wametengeneza/ Wamepata Kupitia Mimi?, Siku Ya Jumatatu Natarajia Kuweka Hadharani Dili Nililoingia Na Label Yangu Ili Ulimwengu Wafahamu Kuwa Wanalengo Gani " alisema  Meek Mill.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags