Zayn ampiga mkwewe

Zayn ampiga mkwewe

Oooooh! Yeeeeah it’s another Friday leo bwana kwenye gumzo mitandaoni, muimbaji maarufu nchini British Zain Javadd Malik maarufu kama Zayn ameachana na mpenzi Gigi wake baada yakumpiga mama mzazi wa mpenzi wake mwenye umri wa miaka 57

Wawili hao wanadaiwa  kuwa katika mahusiano kwa muda wa miaka 6.

Vipi mdau tukio hili kwa upande wako unalionaje? Tupia  comment yako kupitia www.mwananchi scoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags