Unaikumbuka mpenzi chocolate ya Mzee Yusuph

Unaikumbuka mpenzi chocolate ya Mzee Yusuph

TBT
UNAIKUMBUKA MPENZI CHOCOLATE YA MZEE YUSSUPH
Na Aisha Lungato
Niaje wanangu wa mwananch scoop, leo kwenye Throuback Tuesday (TBT) tumekupeleka Pwani unajua ukanda wa Pwani weyeee tuko huko aisee.
Na leo tumekuletea mwanakaka alie jizolea umaarufu zaidi kupitia tarabu zake na kufanya kupendwa na watu wa ndani na nje ya nchi na huyu si mwingine ni Mzee Yusuph maarufu kama Mfalme Mzee Yusuph.
Mzee Yusuph ndio CEO wa “Safina Morden Taarabu” na kwasasa anatamba na taarabu yake ya “Mahaba niue” ambayo inafanya vizuri sana katupia mtandao wa Youtube.
Leo tunakurudisha nyuma kidogo na kuitizama taarabu yake iliofanya vizuri nje na ndani ya Tanzania, ambayo ni “Mpenzi Chocolate” kupitia albamu yake ya “Mpenzi Chocolate” iliyobeba jina la taarabu hiyo ilitamba sana kitaani mwaka 2014 Albam hiyo ilifanya vizuri sana na kupendwa na watu wa kila rika.
Hayaa haya sasa wanangu wa @mwanachiscoop shusha comment hapo chini utuambie ni mstari gani unaukubali na ulikukosha sana kupitia taarabu hiii. Na ni taarabu gani unaikubali zaidi ya zamani kutoka kwa Mfalme Mzee Yusuph.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags