Aunty Ezekiel afunga ndoa na Kusah

Aunty Ezekiel afunga ndoa na Kusah

 

AUNTY EZEKIEL AFUNGA NDOA NA KUSAH

Na Aisha Lungato

Huko mitandaoni leo mambo moto moto, unaambiwa msanii wa filamu Aunty Ezekiel amefunga ndoa na msanii wa muziki wa kizazi kipya Kusah.

Akithibitisha hilo Aunty ameshare picha katika ukurasa wake wa Instagram ikimuonesha wapo wawili na wamevalia mavazi ya harusu huku akiandika “Alhamdulillah”.

Hata hivyo ndoa hiyo inadaiwa kufanyika kisiri kwani inadaiwa kuwa Aunty Ezekiel alitaka kuwasupprize mashabiki zake katika siku yake muhimu ya kuzaliwa ambayo ni leo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags