Mwanaume mmoja kutoka Afrika Kusini ambaye hajawekwa wazi jina lake ameripotiwa kuwasilisha kesi ya talaka mahakamani baada ya mke wake kupiga picha yenye utata na mkali wa R&...
Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
Baada ya mwanamuziki kutoka katika visiwa vya Barbados, Rihanna kushindwa kushiriki katika zoezi la kupiga kura kumchagua rais wa Marekani, sasa ameamua kutimkia katika mji al...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Davido ameitwa mnafiki na baadhi ya mashabiki wa Nigeria baada ya kutangaza kupiga kura kwa mara ya k...
‘Rapa’ 50 Cent anadai kuwa msanii Kendrick Lamar, amestahili kuchaguliwa kuongoza show ya Super Bowl Halftime inayotarajiwa kufanyika Februari mwaka 2025 jijini Ne...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, hivi ndivyo unaweza kusema kutokana na njia wanayotumia jamii ya Santo Tomás kutoa hasira zao na kutatua migogoro.Jamii ya San...
‘Rapa’ kutoka Marekani Cardi B amedai kuwa hatapiga kura katika uchaguzi ujao nchini humo huku akimkataa Rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump.Cardi akiwa k...
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani, Usher Raymond amewafurahisha mashabiki wake kwa kuendelea na show licha ya hali mbaya ya hewa ya baridi kali iliyotokea akiwa katik...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanya na Chuo Kikuu cha Brigham Young ambao uliandikwa katika Jarida la Saikolojia ya Familia lilieleza kuwa, kuwa na Dada kunaweza kukufanya uwe na...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Yanga #ClementMzize ameonesha kuwa siyo kupiga chenga na kufunga tuu bali hadi kuimba yuko vizuri, hii inakuja baada ya kuonekana akiimba w...
Mwanamke mmoja kutoka nchini #Uturuki aliyejitambulisha kwa jina la #AY ameripotiwa kuomba talaka akidai kuwa mumewe aitwaye #CY hakuwa msafi wa mwili.#AY alifikisha ombi la t...
Ni hali ya kawaida kumuona mtu anapiga miayo kwani tukio hilo hutajwa kati ya matukio yafanyikayo bila muhusika kutaka, lakini hii si kwa binadamu tu bali hutokea pia kwa wany...
Kwa mara ya kwanza Kampuni ya Apple inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya mawasilia imeshika nafasi ya kwanza kuwa mtengenezaji mkubwa wa simu za mkononi duniani kwa mwa...