Kwa mujibu wa utafiti uliyofanya na Chuo Kikuu cha Brigham Young ambao uliandikwa katika Jarida la Saikolojia ya Familia lilieleza kuwa, kuwa na Dada kunaweza kukufanya uwe na furaha na afya njema.
Aidha watafiti hao walichunguza zaidi ya familia 400 na kugundua kwamba akina dada walikuwa na mchango mkubwa katika kuimarisha afya ya akili ya ndugu zao kuliko hata wazazi wao.
Hata hivyo utafiti huo uligundua kuwa watoto ambao hawana dada huhisi upweke, huzuni na aibu kidogo lakini huwa ni watu wema, na wenye urafiki bora zaidi.
Ingawa ndugu na dada wanaweza kupigana nyakati fulani, lakini bado wanaweza kufundishana, kutegemeana, kulindana dhidi ya kuvunjika moyo na kusaidiana kuwa watu bora.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi
Leave a Reply