Rapa wa Marekani Kendrick Lamar anadaiwa kuingia kwenye anga za msanii Father John Misty, hii ni baada ya wawili hao kutoa album muda sawa kwa takribani miaka minne.Utakumbuka...
Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Zuchu akitimiza miaka 31 yapo mengi ambayo yamemgusa katika tasnia yake, lakini kwa kawaida mambo haya mawili tunawe...
Mwanamuziki wa Marekani, #UsherRaymond amemtaka mwanawe wa kiume aitwaye Naviyd aingie kwenye muziki mapema na kujisimamia mwenyewe akiwa na umri wa miaka 15.
Inaelezwa kuwa U...
Katika michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani, imeripotiwa kuwa mwamuzi msaidizi #HumbertoPanjoj aliyekuwa akichezea ‘mechi’ ya Peru na Canada amedo...
Kuelekea michuano ya Euro inayotarajiwa kuanza kupigwa kesho nchini Ujerunani mashabiki wamepigwa marufuku ya kuingia na baadhi ya vitu viwanjani, kama vinywaji, vyakula, matu...
Mkali wa muziki wa amapiano, Issaya Mtambo 'Chino Kidd' ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wa Binadamu amesema licha ya changamoto ya ushindani kwenye sanaa amejipata anawez...
Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne.
Imeelezwa kuwa wa...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #TiwaSavage ameweka wazi kuwa aliingia kwenye muziki kwa sababu ya mwanaume, lakini ndoto yake ilikuwani uigizaji.
Tiwa ameyasema hayo wakati...
‘Kocha’ wa #ManchesterCity, #PepGuardiola amedokeza kuwa mchezaji wao #KyleWalker anaweza kurudi uwanjani kwa ajili ya mchezo wao wa ‘ligi ya Mabingwa ...
Mwanamuziki wa Hip-Hop nchini #RosaRee ametajwa kwenye orodha ya #Grammy ambayo imewaangazia wasanii wakike10 wa Afro Hip Hop ambao wanapaswa kutiliwa maanani kutokana na ubor...
Siku zote mshumaa ukizimika huacha giza, ndicho kilichotokea kwa wadau na mashabiki wa burudani mwishoni mwa mwaka 2023, licha ya kuwa wapo wasanii wengi chipukizi waliojitoke...
Bunge nchini Kenya limepiga marufuku uvaaji wa suti iliyopewa jina la aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Kenneth Kaunda ndani ya jengo hilo.
Spika wa Bunge, Moses Wetangula ame...