Walker kuingia uwanjani tena

Walker kuingia uwanjani tena

‘Kocha’ wa #ManchesterCity, #PepGuardiola amedokeza kuwa mchezaji wao #KyleWalker anaweza kurudi uwanjani kwa ajili ya mchezo wao  wa ‘ligi ya Mabingwa dhidi ya #RealMadrid siku ya Jumatano.

Walker hakuweza kuingia uwanjani tangu alipopata majeraha kwenye misuli ya paja alipokuwa akiichezea ‘timu’ yake ya taifa England katika ‘mechi’ ya kirafiki dhidi ya #Brazil mwezi uliopita.

Ikumbukwe kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 aliingia ‘klabuni’ hapo  mwaka 2017 kutokea ‘klabu’ ya #TottenhamHotspur.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags