Rosa Ree aingia kwenye listi ya Grammy

Rosa Ree aingia kwenye listi ya Grammy

Mwanamuziki wa Hip-Hop nchini #RosaRee ametajwa kwenye orodha ya #Grammy ambayo imewaangazia wasanii wakike10 wa Afro Hip Hop ambao wanapaswa kutiliwa maanani kutokana na ubora wao katika muziki huo.

Hatua hii huwenda ikawa njia kwa mwanamuziki huyo kuingia kwenye Tuzo za #Grammy ambazo ndiyo Tuzo kubwa Duniani.

Wasanii wengine wa kike kutoka Afrika ambao wametajwa kwenye ‘listi’ hiyo ni #ShoMadjozi kutoka Afrika Kusini #FemiOne kutoka nchini Kenya na wengine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags