30
Faida za kula nyanya kiafya
Hellow! Another furahi day watu wangu wa nguvu, leo bwana katika afya tumewasogezea jambo ambalo kila mtu litamshangaza kidogo kwasababu wamezoea kuwa ni kiungo cha mboga tu, ...
30
Watu 19 wafariki nchini Morocco baada ya kunywa pombe yenye sumu
Takriban watu 19 wamefariki na wengine mahututi baada ya kunywa pombe kwenye duka lililopo kando ya barabara katika mji wa kaskazini wa Morocco, Ksar el-Kebir.Mwanaume mmoja m...
29
Miili 236 iliyoko sehemu ya kuhifadhia maiti nchini Kenya kutupwa
Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na chombo cha habari cha Citizen TV Kenya kimeeleza kwamba miili ya watu waliofariki dunia itatupwa hivi karibuni. Miili hiyo iko katika ...
29
Helikopta yaua watu 22 Congo
Takribani watu 22 wameuwawa wakati helikopta mbili za jeshi la Uganda zilipoanguka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Taarifa hizo zimetolewa na msemaji wa jeshi ...
29
Ruger: Watanzania nimefika na mabegi yangu
Niaje wanangu wa faida? Manake hapo kwanza nicheke, 'asiyefunzwa na mamae atafunzwa na ulimwengu,' sio maneno yangu hayo ni maneno ya waswahili na hao walimwengu sasa ni Watan...
28
Wema Sepetu: Najali furaha yangu
Mambo mengi  muda ni mchache, yaani ukisinzia kidogo tu unapitwa aisee! Wakati wasanii wengine wakidai talaka huku wengine wanazama kwenye dimbwi la malavidavi na baadhi ...
28
Harmonize: Nilikuwa sina pa kulala nilivyoachana na Sarah
Eeeeeheee! Kumekucha pande hizi umakondeni bwana baada ya aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Konde boy jana kuonekana mahakamani kwenda kudai talaka na kugawana mali na Harmonize. ...
28
Baba Levo: Nitahakikisha Diamond anamuoa Zuchu
Aloooooh! Kwahiyo huu mwaka tutakula ubwabwa wa shughuli mpaka basi, naona watu wamejipanga haswaaa, basi bwana chawa kama chawa Baba Levo amewaaminisha watu kuwa atafanya kil...
27
Harmonize: Ndoto yangu kuwa na familia yenye furaha
Ebwana niaje mwanagu wa faida? Furaha ni kitu pouwa sana katika maisha ya mtu yoyote na ukiwa na furaha unaweza kufikiria vizuri. Basi bhana Mmakonde amefunguka kupitia Instas...
27
Ommy Dimpoz: Namba ya mganga wa Haji ninayo
Duuuuuuh! Huyu bwana harusi wa jana bwana anaendelea kuzua balaa katika mitandao ya kijamii haswa kwa baadhi ya wasanii kutaka kufanya na kuwa na ujasiri kama aliokuwa nao &nb...
27
Diamond: Naoa soon
Aloooooh! Jana bwana kupitia mitandao ya kijamii kulidamshi baada ya yule msemaji wa mabingwa kuvuta jiko yaani kuongeza mke, kumekuwa na gumzo kwa upande wa wasanii mbalimbal...
26
Billnass: Mke wangu huwa ananisalimia
Alooooh weee! Alooh tenaa! Nyie nyie mapenzi mubashara kwa mr and mrs Nenga. Basi bwana Billnass ameshare chats za mke wake ambapo zilikuwa zinaonesha mke wa Nenga, Nandy akim...
26
Ujumbe wa K2ga wazua gumzo
Alooooh! Haya ni marangi marangi kama msanii mwenyewe alivyoimba katika wimbo wake alioachia siku chache zilizopita. Huyu si mwingine, ni yule mwamba anayecheza vyema na sauti...
26
Rayvanny atisha na chui truck tabora
Wanangu niaje? Kama kawaida katika burudani bhana mkali wa melody, Rayvanny a.k.a Chui atisha kwenye tamasha la muziki huko Tabora kwa aina yake ya performance. Chui ameonyesh...

Latest Post