Haishangazi sana kuona nchi kubwa zaidi ulimwenguni zinaongoza kiuchumi pia kuwa na idadi ya watu wengi, mataifa kama china na India yanaongoza kwa idadi &nb...
Aiseee hakuna sekta ngumu hapa duniani kama hii bwana inayohusu mahusiano, huwa hayaeleweki tunaweza kusema hivyo. Ni sawa sawa tu na ile kauli ya bondia mashuhuri kwa sasa Ka...
Watu 127 wamefariki na wengine 180 kujeruhiwa katika mkanyagano wakati wa mechi ya soka nchini Indonesia.Inaarifiwa kuwa vurugu zilizuka kati ya mashabiki wa timu pinzani za m...
Aloooooh! Leo bwana katika segment yetu ya kukujuza na kukusogezea mamovie makali yote nakusogezea film kali ambayo inafanya vizuri katika mauzo yake. Katika kigongo hichi bwa...
Alright my traveling and adventure peeps. Ni wiki nyingine tena tunakutana hapa katika segment ya BATA BATANI. Basi bwana, wiki hii nipo na waterfalls zinzopatakina katika mli...
It’s another Friday leo na watu wa kuparty huwa tunakutana hapa WEEKEND VIBES mapemaaa kabisa ili tujua wapi tuende kuliamsha popo.
Basi bwana Ijumaa hii kama kawaida cl...
Wanachuo mambo vipi? Holiday dizaini imekuwa ndefu, wengine tukiwa tumechill mtaani bila ishu yoyote na wengine wako kasi kukimbizana na mambo ya field report basi ni tr...
Naam karibu sana kwenye ukurasa wa makala za kazi, ujuzi na maarifa kama ilivyo kawaida yetu hapa ndiyo sehemu sahihi kabisa ya kujifunza masuala kadha wa kadha yanayoh...
Wanangu niaje? Its another Friday, siku zinakata kama upepo na bila kupoa tunazitafuta na kuzikusanya habari zote za burudani na kukusogezea mwanangu wa faida ndani ya j...
Mark Lewis
Mambo vipi watu wangu wa nguvu, kama kawaida yetu katika segment yetu ya afya tunaendelea kukujuza kuhusu maswala mbalimbali ambayo unayajua lakini tunakujuza zaidi...
Mambo vipi? Its another week kwenye chimbo letu la biashara ndani ya Mwananchi Scoop, kama kawaida na kusogezea fursa mbalimbali kuhusiana na biashara na lengo kujifunz...
Hellow! Jambo watu wangu wa nguvu, sasa leo bwana kwenye fashion nimekuja na jambo kuntu nikisema hivyo na maanisha, yaani wadada wengi wa siku hizi wanajipulizia tuu manukato...
Wataalamu wa afya wanashauri watu kufanya mazoezi ili kuimarisha afya ya mwili lakini hii kwa vijana imekuwa tofauti wengi hutumia muda wao kushinda gym kwa kufanya mazoezi il...
Nyama ya matumbo au utumbo ni kipande cha nyama inayotoka katika tumbo la wanyama kama vile ng'ombe, nguruwe, kondoo na mbuzi.
Nyama hii inaweza kupatikana katika mikahawa bar...