Bullet train ni balaa jingine

Bullet train ni balaa jingine

Aloooooh! Leo bwana katika segment yetu ya kukujuza na kukusogezea mamovie makali yote nakusogezea film kali ambayo inafanya vizuri katika mauzo yake. Katika kigongo hichi bwana starring ni Brad Pitt, mwamba huyu ndo ameliendesha gurudumu hili mwanzo mwisho.

Bullet Train is a 2022 American action comedy film directed by David Leitch from a screenplay by Zak Olkewicz, and produced by Antoine Fuqua, who initially conceived the film. It is based on the 2010 novel Maria Beetle (titled Bullet Train in its UK and US edition) by Kōtarō Isaka.

The film stars Brad Pitt as a begrudging assassin who must battle fellow killers while riding a fictionalized version of the Tokaido Shinkansen. In addition to Pitt, the film stars an ensemble cast which also includes Joey KingAaron Taylor-JohnsonBrian Tyree HenryAndrew KojiHiroyuki SanadaMichael ShannonBad Bunny, and Sandra Bullock.

Oyaaaaah! Weeeeh! Wapenzi wa comedy na action sasa hapa ndo penyewe nenda kaitizame utakuja kunishukuru baadae maana hichi kigongo ni zaidi ya vigongo vyote mnavyovijua na sijawahi waangusha nikizungumza hivyo basi mjue namaanisha.

Yaani hii si ya kukosa kama umeitazama embu njoo katika mitandao yetu ya kijamii @Mwananchiscoop utuambie ni kitu gani kimekufurahisha katika movie hii.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags