Unmasked edition at maison club

Unmasked edition at maison club

It’s another Friday leo na watu wa kuparty huwa tunakutana hapa WEEKEND VIBES mapemaaa kabisa ili tujua wapi tuende kuliamsha popo.

Basi bwana Ijumaa hii kama kawaida club ya Maison wanajambo lao special kwaajili ya sisi watu wa party.

Kwa wale wanaopenda kuupa moyo pole wakitoka kazini, basi kutakuwa na unmasked edition na wasanii mbalimbali including our young famous and upcoming boy, Jay melody.

DON’T MISS!

 

 

MBOSSO LIVE AT HAVOC


Basi bwana, on another light note, tuna mzee mwenyewe wa kuulalamikia Moyo, Mbosso Khan ambaye atakuwa live kabisa pale Maison.

Hii event itafanyika nayo leo hihi bhana, kwahiyo kama vipi utaamua mwenyewe pa kwenda maana kote mambo ni bull bull 

Mbosso hatokuwa pekee yake, On Decks kuna DJ Lucky, DJ Dida na DJ Dammy Master, huku King Gnex akiwa anahost.

 

Unakosaje kwa mfano, enjoy the weekend party people.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags