Mike Tyson afunguka alivyonusurika na ukimwi

Mike Tyson afunguka alivyonusurika na ukimwi

Nyota wa ngumi za kulipwa Mike Tyson amefunguka jinsi alivyonusurika na Ukimwi.

Tyson kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni na Rosie Perez ‘Interview Magazine’ ameeleza kuwa yeye na rafiki yake walilala na mwanamke mmoja ambaye alikuwa na Ukimwi lakini yeye alinusurika katika janga hilo.

“Hey, maisha bado hayajaisha bado tunapambana. Tunatoka tu siku ya kifo chetu hakuna namna ningekuwa hapa nikiongea na wewe sasa hivi. Marafiki zangu wote wamefariki.”

“Walikufa kwa kuzidisha madawa, walikuwa na UKIMWI. Mimi na rafiki yangu tulilala na huyu msichana kwa wakati mmoja, na wote walikufa kwa UKIMWI lakini Mimi sikupata UKIMWI na nilifanya bila kinga.” Alisema Tyson






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags