Billnass: Mke wangu huwa ananisalimia

Billnass: Mke wangu huwa ananisalimia

Alooooh weee! Alooh tenaa! Nyie nyie mapenzi mubashara kwa mr and mrs Nenga. Basi bwana Billnass ameshare chats za mke wake ambapo zilikuwa zinaonesha mke wa Nenga, Nandy akimsalimia mume wake “mume wangu shikamoo.”

Basi bwana kupitia ukurasa wake wa Instagram akiambatanisha na chats hizo ameeleza kuwa, “huwa mnasalimiana vipi na mpenzi wako asubuhi au tukuache kwanza,” ameandika Billnass.

Hhahhah! Make hapa kwanza ncheke. Haya waja dondosheni komenti zenu hapo chini je unasalimianaje vipi na mweza wako au tukuache kidogo.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags