Diamond: Naoa soon

Diamond: Naoa soon

Aloooooh! Jana bwana kupitia mitandao ya kijamii kulidamshi baada ya yule msemaji wa mabingwa kuvuta jiko yaani kuongeza mke, kumekuwa na gumzo kwa upande wa wasanii mbalimbali wakitamani kuwa kama Bugati, mzee wa byuti byuti.

Basi bwana yule msanii maarufu ndani na nje ya Diamond nae ameamua kuweka wazi kuwa na yeye anatarajia kufanya hivyo kwa siku za hivi karibuni.

Diamond ameyaeleza hayo kupitia katika koment ambayo ilikuwa imelenga kumpongeza Manara na kuandika kuwa, “nami niko njiani in shaa allah” ameandika Diamond.

Weeeeuweee! Haya mwanangu sana embu dondosha komenti yako hapo chini, je Mondi anamaanisha alichokiandika au tumuache kidogo. All in all pongezi sana kwa Haji Manara mzee wa byuti byuti.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags