Kama hukuwahi kuona hii, fahamu kupitia Mwananchi Scoop wakazi wa kijiji cha Shirakawa-go, Wilaya ya Gifu nchini Japan wametengeneza mfumo wa kipekee wa kuzuia moto kuunguza n...
Msanii Diamond Platnumz anaripotiwa kununua gari zingine mbili aina ya mercedes Benz nyeusi ambapo inaelezwa kuwa moja kati ya hizo haipitishi risasi yaani 'Bullet Proff'. Taa...
Mwanamuziki Chris Brown amewashtaki watayarishaji wa makala inayoeleza unyanyasaji aliyowahi kuufanya, iitwayo ‘Chris Brown: A History of Violence’ akidai kuwa mak...
Kila ifikapo Januari 22 dunia inaadhimisha Siku ya Kukumbatiana. siku ambayo ilianzishwa mwaka 1986 na mchungaji Kevin Zaborney huku lengo kuu likiwa ni kupeana faraja.Siku hi...
Uchunguzi bado unaendelea Los Angeles katika kesi inayomkabili rapa ASAP Rocky, ambaye anakabiliwa na mashtaka mawili ya uhalifu, akidaiwa kumpiga risasi rafiki yake wa zamani...
Kwa Bongo ni nadra kukuta nyimbo za hip-hop zikipendwa na wanawake ama kuchezwa club, isipokuwa za wasanii wachache ndiyo hupata bahati hiyo.Kati ya wasanii hao ni Moni Centro...
Mwanamuziki wa Hip Hop na mtangazaji nchini Frida Amani anatarajiwa kufanya show katika tamasha la Sauti za Busara 2025, linalotarajia kufanyika kuanzia Februari 14 hadi 16.St...
Mtindo wa kusimulia visa na matukio kupitia muziki hasa wa Rap au Hip Hip uliteka hisia za wengi kipindi cha nyuma, jumbe za kuelimisha ndizo zilichukua nafasi kwa asilimia ku...
Msanii kutokea nchini Marekani Rihanna, ambaye hajatoa albamu mpya tangu alipoachia album yake ya 'Anti' 2016, alionekana katika studio ya kurekodia huko Jijini New York Jumam...
Mwandishi Wetu, Mwananchi
Miaka 12 iliyopita, msanii Naseeb Abdul 'Diamond aliwahi kueleza Bila malipo ya Sh 10 Milioni hafanyi kolabo.
Hiyo ilikuwa ni Juni 6, 2012, wa...
Na Peter AkaroStaa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao...
Kujenga nyumba ni rahisi sana kama ukiwa hatua za mwanzoni. Urahisi wenyewe huanzia kwenye lugha na maongezi yake. Yaani ni kisiwahili mwanzo mwisho.Kiwanja, mchanga, msingi, ...
Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...