Bhana bhana!! Weekend nyegine ya kibabe tuna kutana tena na wanetu kubadilishana mawazo na kujuzana mambo kadha wa kadha mambo yanayoendelea katika burudani na michezo.
Hivi u...
Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Nasreddine Nabi amevunja ukimya juu ya matumizi ya winga Bernard Morrison akisema Mghana huyo hana pumzi ya kutosha kucheza muda mrefu uwanjani. ...
Baby mama wa msanii na mtangazaji maarufu duniani DC Young Fly, Jacky Oh mwenye umri wa miaka 32 amefariki dunia baada ya kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo lake (Surgery)...
Kumekuwa na minong’ono mingi kuhusiana na mwanamuziki wa bongo fleva Anjella kuwa kimya kwa muda mrefu bila kutoa nyimbo, mwanadada huyo ameeleza sababu ya ukumya wake b...
Mahakama kutoka nchini Eswatini imewakuta wabunge wawili na hatia ya mauaji na ugaidi kwa jukumu lao katika wimbi la maandamano yaliyoikumba nchi hiyo mwaka 2021.
Mduduzi Bace...
Msaani wa miondoko ya Hip-Hop, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay ameonekana akiwa studio akirekodi nyimbo ikiwa ni baada ya mwaka mmoja tangu atoe nyimbo ya “Hands U...
Mwanamume mmoja aliyetembelea Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Roma alivua nguo na kusimama uchi kwenye madhabahu kuu kupinga vita vya Ukraine, chanzo cha habari cha Vatica...
Ikulu ya Marekani ‘White House’ imesema kuwa Rais Joe Biden yuko sawa baada ya kujikwaa na kuanguka jukwaani alipokuwa kwenye sherehe za kuhitimu Chuo cha Jeshi la...
Wiki hii bana kumekuwa na mambo mengi sana baada ya mpenzi wa kikonge muigizaji Al Pacino kuonekana kuwa na ujauzito na mzee huyo kutarajia kupata mtoto wa nne, hivi karbuni k...
Kocha wa klabu ya PSG, Christophe Galtier amethibitisha kuwa nyota wake Lionel Messi ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu. Akizungumzia hilo kocha huyo amesema anajivun...
Nchi ya Tanzania imepata Mkopo wa Dola za Marekani Milioni 300 ambapo ni takribani billion 700 kwa pesa za kitanzani kwa ajili ya kuchochea uzalishaji, kuimarisha sekta ya kil...
Wajeshi nchini Sudan siku ya Jumatano wamevunja makubaliano na vikosi vya nchi hiyo vya RSF na kuongeza muda wa makubaliano ya usimamishaji mpya wa mapigano wakishutumu kukiuk...
Waziri wa elimu,sayansi na teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema amepokea malalamiko kwamba kuna Shule zinazuia wanafunzi kwenda likizo bila kushauriana na wazazi.
Huku wazazi...