Ebanaee!!! ukiskia kivumbi na jasho ndo hii sasa, unaambiwa bwana Mume wa mtu kutoka nchini England aliye fahamika kwa jina la Stuart Slann, aliesafiri na gari kwa maili 400 a...
Huku sakata la mchezaji Feisal Salum maarufu kama Fei Toto likiendelea, leo bwana kijana huyo amefunguka mazito baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kupitia mahojiano yake na m...
Nchi ya Korea Kaskazini imezindua kile ilichokiita setelaiti ya angani kuelekea kusini kwa majira ya nchi hiyo, hatua hiyo imesababisha kutolewa kwa tahadhari ya dharura, na o...
Mwanamuziki, The African Princess, Nandy amlilia Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye baada ya watu wasio waaminifu kutumia jina lake kutapeli um...
Waangalizi wa vyombo vya utangazaji vya nchini Uturuki, jana Jumanne, wametangaza kuchunguza vituo sita vya televisheni vya upinzani kwa madai ya kukashifu umma kupitia matang...
Staa wa muziki kutoka nchini Marekani Danileigh ambae ni Baby mama wa Rapa Dababy, amekamatwa na Polisi kwa makosa matatu.
Ikiwemo kosa la kumgonga mtu kwa gari na kukimbia hu...
Ebanaee!! ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, Imeoneka siku hizi wadada wanavutiwa kimahusiano na wazee hiyo imetokea kwa muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani m...
Kaka wa Marehemu Paul Walker, Cody Walker yeye na mke wake wameamua kumuenzi Staa huyo wa Filamu aliefariki katika ajali ya Gari November 30, 2013, huko Valencia, Sa...
Mhubiri Ronald Wanyama, anayejulikana pia kama Nabii Yohana raia wa Kenya, ametakiwa kufika mbele ya Kamanda wa Polisi wa Bungoma, Juni 2, 2023 kwa ajili ya kujieleza. Mhubir...
Ebanaee!!! Amkeni bhana we hivi unajua staa wa muziki wa bongo fleva Diamond platnumz anaingiza mkwanja wa kiasi kikubwa cha Tsh.milioni 183.
Kwa mujibu wa ukurasa wa Twitter ...
Hahahahah! Make hapa kwanza nchike, wakati mimi na wewe msomaji tukitamani kumiliki mandinga na kutamba nayo mitaani kumbe kuna wenzetu wanayo ila hawawezi kuyatumia.
Basi bwa...
Nyie nyie mjini kumechangamka haswa baada ya lile jambo ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu Realiy show ya ‘Young, Famous, and African’ ambayo imewashirikisha ma...
Mwadada Bernice Kariuki kutoka nchini Kenya ambae mpishi wa wachezaji pamoja na benchi zima la ufundi la klabu ya Arsenal ametangaza kuacha kazi ya kuiandalia chakula klabu ya...
Mahakama nchini Libya siku ya jana Jumatatu ilitoa hukumu ya kifo kwa wanajihadi 35 waliokutwa na hatia ya kupigana pamoja na kundi la Islamic State katika nchi hiyo iliyopo A...