08
Eric Omondi na mpezi wake watarajia kupata mtoto
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi anatarajia kuitwa baba siku chache zijazo baada ya kuweka wazi kuwa mpenzi wake anaejulikana kwa jina la Lynne ni mjamzito. Rais h...
08
Museveni akutwa na Corona
Wizara ya Afya kutoka nchini Uganda imeeleza kuwa rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni akutwa na maambukizi ya Uviko-19 ambapo alianza kupata dalili za homa na mafua makali ingaw...
08
Binti apooza mkono kwa kupewa adhabu na mwalimu
Mwalimu Nkya kutoka shule ya msingi Miririni mkoani Arusha alimpa adhabu mwanafunzi Milcah Zakaria Mbise mwenye umri wa miaka 11 wa darasa la 4 ambayo ilimuumiza mkono. Tangu ...
07
Raia 10 kutoka DRC wauawa
Serikali nchini Congo imesema raia 10 wamefariki baada ya chuo kikuu chao kushambuliwa katika mashambulizi ya anga yaliyotokea katika mji mkuu wa nchini Sudan, Khartoum siku y...
07
Muhubiri akamatwa kwa kuwapotosha waumini
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Herman Magigita mwenye umri wa miaka 60 mchungaji wa kanisa la ‘Neno’ lililopo kijiji cha Chema. Kwa kosa la kufanya sh...
07
Ramadhani Brothers waja kivingine America’s got talent
Wasanii kutoka nchini Tanzania, Ibrahim na Fadi Ramadhani, maarufu kama The Ramadhani Brothers usiku wa kuamkia leo walishangaza watu kwa kitendo chao kinachoitwa ‘Head-...
07
Aolewa na mwanaume Roboti
Ebhana!! wakati utandawazi ukichukua nafasi kubwa duniani katika vitu mbalimbali huku tunaona mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina Rosanna Ramos mwenye...
07
Kagame awafuta kazi wanajeshi
Mkuu wa jeshi na waziri wa ulinzi nchini Rwanda wamefutwa kazi kwa wakati mmoja, hali ambayo si kawaida nchini humo ni baada Rais Paul Kagame kuchukua maamuzi hayo pasipo kuta...
07
Ahmed Ally: Tunahitaji mfungaji bora
Baada ya kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza kumsogelea kwa ufungaji mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 na yeye 15, uongozi wa Simba umetoa neno. Meneja Haba...
07
Davido: Nisingekuwa mwanamuziki basi ningekuwa comedian
Msanii kutoka nchini Nigeria Davido  kwenye moja ya interview aliyoifanya hivi karibuni amesema kwamba kama asingekuwa mwanamuziki basi angekuwa mchekeshaji (comedia...
06
Sanamu la Nyerere kujengwa Ethiopia
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana leo amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma, ambapo moja y...
06
Microsoft yakiuka faragha za watoto
Tume ya biashara ya shirikisho (Federal Trade Commission) nchini Marekani imedai kuanzia 2015 hadi 2020 Microsoft ilikusanya taarifa binafsi za watoto wa chini ya miaka 13. Am...
06
Mackenzie atazeekea gerezani, Kindiki
Sakata la Mchungaji Paul Mackenzie raia wa Kenya limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Usalama wa ndani nchini humo, Kithure Kindiki kusema kuwa hatoachiwa huru na bada...
06
Waliombagua Vinicius wapigwa faini
Watu saba raia wa nchini ya Ispania waliohusika katika mashambulizi tofauti ya kibaguzi dhidi ya Winga wa Real Madrid Vinicius Jr wameadhibiwa na tume ya taifa ya nchini humo ...

Latest Post