Mchezaji wa kwanza kuvaa hijabu kombe la Dunia

Mchezaji wa kwanza kuvaa hijabu kombe la Dunia

Nouhaila Benzina beki kutokea nchini Morocco mwenye umri wa miaka 25 ameweka historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kuvaa hijabu  kwenye michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake.

Aidha beki huyo alivaa hijabu alipocheza kwa mara ya kwanza kwenye michuano hiyo ambapo timu yake ilipata ushindi wa 1-0 dhidi ya Korea Kusini. Morocco ni moja ya timu nane zinazocheza kwa mara ya kwanza kwenye Kombe la Dunia la Wanawake msimu huu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags