Mwanamuziki mkongwe wa Colombia, Shakira amethibitishwa kutumbuiza kwenye fainali ya Copa America 2024, siku ya Jumapili inayotarajiwa kuhudhuriwa na mashabiki 54,000.
Kwa muj...
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kuwa fainali ya Kombe la Dunia la 2026 itafanyika kwenye Uwanja wa #MetLife unaochukua mashabiki 82,500 katika mji wa East ...
Mkongwe wa soka nchini Ujerumani Franz Beckenbauer mwenye umri wa miaka 78 anayetambulika kama moja ya wachezaji bora kuwahi kutokea nchini humo, amefariki dunia.
Franz aliwah...
Kwenye mchezo kati ya ‘klabu’ ya #ManchesterCity na ‘klabu’ ya #Sheffield jana Jumamosi, panya mmoja aliingia uwanjani (eneo la kuchezea) na kusimamish...
Baada ya Timu ya Taifa Tanzania 'Taifa Stars' kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wageni wao Morocco ‘mechi’ ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 iliyopigwa jana Uw...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #AlNassrFC ya #SaudiArabia imefanya mazungumzo na nyota wa #Ureno, #CristianoRonaldo juu ya nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia ...
Imeripotiwa kuwa nchini #SaudiArabia, wataandaa Kombe la Dunia la 2034, baada ya #Australia kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuandaa mashindano hayo.
Inaelezwa kuwa nchi hi...
Nyota wa ‘klabu’ ya Inter Miami, Messi amefunguka na kueleza kuwa ‘timu’ aliyokuwa akiichzea hapo awali ya PSG haikumpa heshima baada ya yeye kushinda ...
‘Klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani imeendelea kuongeza wafuasi kwenye mitandao ya kijamii kila uchwao baada ya kumsajili mchezaji aliyeshinda Kombe la D...
Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) limeshauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kuhakikisha linatoa malipo sawa ya fedha na tuzo kwa wanawake , kama ilivyo kwa wanaume...
Nouhaila Benzina beki kutokea nchini Morocco mwenye umri wa miaka 25 ameweka historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kuvaa hijabu kwenye michuano ya Kombe la Dunia la Wanaw...