Mbosso: Hofu ya kumkosea mpenzi wako ni nguzo imara

Mbosso: Hofu ya kumkosea mpenzi wako ni nguzo imara

Mtu mwenye mapenzi yake #MbossoKhan licha ya kuwa na mistari mizito katika nyimbo zake yenye ujumbe kwa wapendanao sasa ametoa neno la hekima kwa wapenzi kupitia InstaStory yake.

Mwanamuziki Mbosso ame-post ujumbe usomekao,

 “Hofu ya kuogopa kumkosea mpenzi wako ni moja ya nguzo imara sana itakayoendelea kushikilia thamani ya upendo wako kwa yule umpendae.”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags