Jay–z mbioni kuinunua Tottenham hotspurs

Jay–z mbioni kuinunua Tottenham hotspurs

Baada ya mmliki ‘klabu’ ya Tottenham Hotspurs, Joe Lewis kuwa na tuhuma za udanganyifu katika biashara ya soko la hisa, mwanamuziki wa Hip-Hop nchini Marekani, Jay-Z ame-‘ripotiwa’ kuandaa ‘ofa’ kwa ajili ya kuinunua ‘klabu’ hiyo.

Inaelezwa kuwa Joe amekutwa na taarifa za siri ambazo ni kinyume cha sheria kwenye biashara ya soko la hisa. Baada ya mashtaka hayo inadaiwa kuwa Jay-Z amejipanga kuinunua ‘klabu’ ya Tottenham

Nikukumbushe mwaka 2010 Jay-Z aliwahi kufunguka kuhusiana na kuwa na  nia kuwekeza katika Ligi Kuu ya England.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags