Idriss akumbushia enzi za Kanumba na Ray

Idriss akumbushia enzi za Kanumba na Ray

Muigizaji #idrissultan, ametia neno kuhusiana na tabia ya kurushiana maneno kwa wasanii wa #BongoFleva, huku akikumbushia enzi za Kanumba na Ray kuwa walikuwa wakitupiana maneno huku kazi zao zikienda,na akilinganisha enzi hizo na sasa kwa Diamond na Alikiba.

Idriss ambaye kwa sasa anafanya vizuri kwenye upande wa ‘filamu’ amedai kuwa atokee mtu wa kumtupia maneno ili aweze kufika #Hollywood.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags