Watu Zaidi ya 150 wamefariki baharini baada ya boti waliopanda kupinduka njiani, ambapo walikuwa wanatoka kwenye sherehe ya harusi. Hadi sasa kuna Watu 150 waliofariki na za...
Mpishi kutoka nchini Nigeria ambaye amekuwa maarufu duniani kote baada ya kupika bila kukoma kwa zaidi ya saa 93 amethibitishwa kuwa mshikilizi mpya wa rekodi ya dunia.
Shirik...
Jeshi la polisi mkoani Tabora linamshikilia Rayson Agnelusi Duwe muuguzi msaidizi katika hospitali ya wilaya ya Sikonge, kwa kosa la kumbaka mama mjauzito wa miezi tisa baada ...
Shirika moja la kutetea haki za binadamu kutoka nchini Kenya limeishtaki shirika la kimataifa la Marekani Johnson & Johnson juu ya kuuzia wananchi wao poda zisizo na ubora...
Baadhi ya raia wa Ecuador wameachwa na mshangao baada ya mwanamke aliyetambulika kwa jina la Bella Montoya mwenye umri wa miaka 76 kukutwa akihangaika kuvuta pumzi kwenye jene...
Ikiwa ni usiku mmoja umepita baada ya tuzo kwa waliofanya vizuri msimu wa 2022/23 kutolewa, Meneja Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema washahitimisha rasmi msimu. Ku...
Wanaharakati 39 wa upinzani wanaoshutumiwa kwa kuzua ghasia za kisiasa nchini Zimbabwe wamefunguliwa mashtaka kuhusiana na madai ya kuharibu ofisi ya chama tawala (ZANU-PF) si...
Wachezaji Saido Ntibazonkiza wa Klabu ya Simba na Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga wametwaa Tuzo ya mfungaji bora msimu huu wa 2022/23 katika Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Mig...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameweka ujumbe kwenye mtandao wa Twitter na kusema kuwa bado anajitenga kufuatia uvumi wa mitandao ya kijamii kwamba amefariki kutokana na Covid...
Boti ya watalii nchini Misri iliokuwa imebeba jumla ya watu 27, miongoni mwao wakiwa watalii 15 wa Uingereza imewaka moto ikiwa baharini.
Vyombo vya habari nchini humo vimerip...
Usiku wa kuamkia leo katika pambano dhidi ya Floyd Mayweather na John Gotti III lilofanyika Florida nchini Marekani lilisitishwa baada ya uamuzi tata kusababisha vurugu kubwa ...
Zaidi ya watu 10 wamefariki dunia na wengine 20 wamelazwa hospitalini baada ya basi la harusi kuanguka katika eneo la mvinyo nchini Australia.
Abiria hao walikuwa wakirejea ku...
Baada ya shirika la chakula duniani la umoja wa mataifa (WFP) kusitisha sehemu ya msaada wa chakula nchini Ethiopia kutokana na wasiwasi kuwa misaada hiyo haiwafikii wahusika....
Baada ya kumkosa Messi klabu hiyo ya Saudi Arabia sasa inamuwinda mshambuliaji wa Paris Saint-Germain (PSG), Neymar aliyesajiliwa kikosini hapo Mwaka 2017 kwa P...