Serena Williams na mumewe wanatarajia kupata mtoto wa kike

Serena Williams na mumewe wanatarajia kupata mtoto wa kike

Nyota wa mchezo wa #Tenisi kutoka nchini Marekani Serena Williams na mumewe Alexis Ohanian wanatarajia kupata mtoto wa kike.

Kupitia tafrija fupi ya baby shower waliyofanya na kurushwa kwenye mtandao wa #YouTube wawili hao waliweka wazi kuwa wanategemea kupata mtoto wa kike.

Serena na Alexis tayari wana mtoto wa kwanza mwenye umri wa miaka mitano hivyo basi mtoto huyo anayetarajiwa atakuwa ni mtoto wao wa pili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags