Breeder aweka wazi gharama za kufanya naye kazi

Breeder aweka wazi gharama za kufanya naye kazi

Rapper kutoka nchini Kenya Breeder LW ameweka wazi kutoza  laki mbili na elfu 46 kwa kila neno kwenye verse ya wimbo atakao shirikishwa .

Gharama hizo ameziweka wazi kwenye #InstaStory yake wakati akijibu swali kutoka kwa shabiki aliyetaka kujua kiasi cha fedha anachotoza kwa ‘kolabo’.

Tofauti na gharama hizo Breeder amedokeza ujio wa #Albam yake mpya ambayo hadi sasa imekamilika kwa kiasi kikubwa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags