Harmonize : Bahati haiji mara mbili

Harmonize : Bahati haiji mara mbili

Vita ya ma-ex wawili bado inaendelea, ambapo kwa upande wa Harmonize bado anatoa ya moyoni.

Kupitia instastory yake ameshusha tena ujumbe ukisema

“U can tell how walikuwa wanaisubiri hii moment dakika tuu washajibu, tunasisitiza mseme na mema sio kujichekesha , simulia basi kwenye Tv  kwamba nilikuwa nakupatia 10% ya kila ninacho ingiza shows endorsement kila kitu, tell them ulikuwa na PIN ya kila kadi zangui za Bank.

Lol bahati haiji mara mbili huwezi kuwa na furaha kiasi hicho ikiwa umevunja gari kutoka kwenye Range kurudi kwenye TOYOTA, ungenipigia nikusaidie hela ya service. Im a good guy you know that, im even getting more money better then B4, lia saga menooo omba msamaha unaweza kufikiriwaaaa ila njia unayotumia hutoboi changanya na umri wacha tuone, siongei tena”

Comments 0

Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.

Latest Post

Latest Tags