Album ya Davido yafikisha streams bilioni 1

Album ya Davido yafikisha streams bilioni 1

Albam ya nyota wa muziki kutoka Nigeria Davido inayoenda kwa jina la ‘Timeless’ imefanikiwa kufikisha streams bilioni 1, kwenye majukwaa makubwa ya kuuza muziki mtandaoni.

Hadi sasa #Album hiyo imefikisha miezi minne tangu itoke, lakini bado inaendelea kufanya vizuri mitandaoni.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags