Jumatano ya vita kati ya Kajala na Harmonize

Jumatano ya vita kati ya Kajala na Harmonize

Jumatano ya mashambulizi kutoka kwa Kajala na Harmonize, wahenga walisema kuwa mapenzi yakiisha hugeuka kua uadui, wawili hawa ambao wengi walizoea kuwaona kwenye picha ya pamoja na videos wakiwa gym na kwenye viwanja vya starehe sasa wamekuwa wapinzani wakichuana kwa maneno.

Wimbo wa dear ex na waraka wa Harmonize kwa Kajala umezua sura mpya siku ya leo kila mmoja hataki kushindwa sasa basi baada ya Kajala ku-post video akiwa na Paula wakicheka, Harmonize hajakaa kimya katupia maneno kwenye video hiyo

Kupitia #Instagram yake #Harmonize kaandika,

Who Said Bad man !!! Never #DEAR Unamuingiza Dapau Kwenye Mambo Yasio Muhusu We Mwenye !!! Mfano Hivyo Mmejirecord Mnanicheka Mpo Sexyyy Na Vijembe Kibao!! Na Unajua Kabisa Nitaona!!!! Alafu Mimi Na Mizigo Sijiwezi Kama Sio Kutakana Lawama!! Nini Leo Kiroho Kwatuu Kama Naliona TIZA LA JUMA 5 HIII Hamshindwi Kuanza Upya Maana Now Ndio Kipindi Kimenoga JAMANIII HAKIKISHA UNA KING’AMUZI KIPO FUUL!!






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags