Mwijaku: Mimi ndiye kijana ninaye fatiliwa zaidi mitandaoni

Mwijaku: Mimi ndiye kijana ninaye fatiliwa zaidi mitandaoni

Huku michuano ya kushika namba moja trending kwenye platforms za kuuzia muziki kwa wasanii wa #BongoFleva, kwa upande anayejiita Dc wa #Instagram na mtangazaji #Mwijaku anadai kuwa yeye ndiyo mtu anayetafutwa na kufuatiliwa zaidi kupitia mitandao ya kijamii kwa mwaka 2023.

Kupitia Instagram yake ameweka ujumbe usemao

“#KIPENZICHAWATZ-Super star DC #Mwijaku_maokoto mimi ndiye kijana ninaye fatiliwa sana mitandaoni 2023/2024. Ukimtoa Muheshimiwa Dr Samia Suluhu Hassan.”

Vipi unakubaliana na Mwijaku






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags