Mlinzi wa kati wa Taifa stars, Abdi Banda ambaye amewahi kupitia ‘vilabu’ mbalimbali ikiwemo Simba SC, Mtibwa Sugar, Chippa United ametambulishwa rasmi katika ‘klabu’ ya Richard Bay FC iliopo Afrika Kusini.

Leave a Reply