L.A. Reid: Ilikuwa uamuzi mgumu kumuacha Lady Gaga

L.A. Reid: Ilikuwa uamuzi mgumu kumuacha Lady Gaga

Mmiliki wa label ya Def Jam Records  na Mtayarishaji wa Muziki nchini Marekani, L.A. Reid amesema anajutia kumtema Lady Gaga katika label yake anasema.

“Ilikuwa ni uamuzi mgumu kuachana na Lady Gaga halafu kumshuhudia sio tu akipata hit moja, lakini kupata mafanikio makubwa, na kuwa kioo ambacho kilibadilisha mtazamo wa muziki kwenye kipindi chake.”

Ikumbukwe Lady Gaga alisainiwa Def Jam mwaka 2006 na kuondolewa kwenye label hiyo miezi mitatu baadaye na kisha mwaka 2007 alibahatika kukutana na Akon ambaye alimshawishi na kumsign kwenye label ya KonLive .






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags