02
Agharamikiwa harusi na KFC baada ya kumchumbia mpenzi wake kwenye mgahawa wao
Mwandishi wa habari mmoja kutoka Nchini South Africa alishangazwa na kitendo cha jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina la Hector Mkan...
02
Waliofariki Kenya kwa kufunga wengine walinyongwa
Baadhi ya wahanga wa dhehebu tata linaloendesha shughuli zake katika msitu wa Shakahola katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya, waliuawa kwa kunyongwa, yameonyesha matokeo ya vi...
01
Vyuo 161 vyafungiwa
Kufatia ukaguzi ambao ulifanywa kwa agizo la IGP Camilius Wambura kama sehemu ya kudhibiti wimbi la ajali nchini Jeshi la Polisi Tanzania limebaini vyuo 161 vimefanya udangany...
01
Rapa Malone amekanusha kutumia madawa
Mwanamuziki wa hiphop kutoka nchini Marekani Post Malone amekanusha kutumia madawa za kulevya baada ya maswali mengi  kuibuka kutokana na mabadiliko kwenye mtindo wake wa...
01
Jina la Pele laingizwa kwenye kamusi
Aliyekuwa gwiji wa soka marehemu Edson Arantes do Nascimento, maarufu kama Pele, jina hilo limeingizwa rasmi kwenye kamusi likimaanisha kitu ama jambo la "kipekee kisicholinga...
01
Adaiwa kuwa na zaidi ya watoto 500
Jonathan Jacob Meijer mwenye umri wa miaka 41 raia wa Uholanzi amepigwa marufuku kusambaza mbegu zake za kiume baada ya kugundulika kuwa na watoto zaidi ya 550 duniani kupitia...
01
Watendaji 7 wasimamishwa kazi uwanja wa mkapa
Serikali imewasimamisha kazi watendaji 7 wanaofanya kazi uwanja wa taifa (Benjamin Mkapa stadium) ambapo walisimamishwa kazi kutokana na hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika...
28
Aishi na Sindano na uzi mwilini kwa miaka 11
Mwanamke mmoja kutoka nchini Colombia aliefahamika kwa jina la Maria Aderlina Forero aligundua kuwa ndani ya mwili wake kulikuwa na sindano na uzi vilivyosahaulika na madaktar...
28
Mapacha walioungana mmoja apata mpenzi
Mapacha walioungana wanaofahamika kwa majina ya Lupita na Carmen wameshare story ya maisha yao kwakuweka wazi kua kwasasa mmoja wao ana mpenzi japokua wanatumia njia moja ya u...
30
Mambo muhimu yakuzingatia kwa wanafunzi wa chuo
Niaje niaje, hivi chuo kinasemaje au ndo manapambania kombe, basi bwana kama kawaida yetu wazee wa kusababisha katika segment yetu ya unicorner, leo sasa tuko na mada ambayo s...
30
Fanya haya kuepuka uvivu kazini
Mambo vipi, furaidayy ndo kama hiyo bwana I hope uko poa mwanetu sasa pamoja na weekend lakini hatuja poa kukujuza mambo mbalimbali yanayojiri  kitaani au sio sasa wiki i...
30
Mbinu za kuuza na kupata oda katika biashara yako
Niaje niaje wafuatiliaji wa Mwananchi Scoop, haya sasa tuendelee tulipo ishia, all in all week iliopita bwana tumefanya biashara haswa tusifichee, wenye kuuza nguo, vyakula, v...
29
Fahamu zaidi kuhusiana na uzazi wa mpango
Heeeey! I hope mko well, am here kuelekezana kuhusiana na maswala mazima ya Afya hususani ya wanawake, maana wengi wenu mnanitambua kama Madam hedhi salama, sasa leo katika to...
29
Mavazi yanayo pendelewa kuvaliwa msimu huu wa mvua
It’s furahidayyy!! wanangu sana kama kawaida sisi nia na madhumuni yetu ni kukupasha yale yote unayo yasikia, naunayo yajua kwa uchache basi kwetu katika uwanja wa fashi...

Latest Post